0 comments

SAME WAJIPANGA KWA MWAKA 2019. WEO/VEO WAPEWA SHIME

💠Kikao kilichoitishwa na Viongozi wa Wilaya ili kuweka mikakati ya kumaliza mwaka 2018 na kuanza mwaka 2019.Kikao kilimuhusisha DC Same, DAS, DED, TAKUKURU, wakuu wa idara, A/tarafa, watendaji kata na vijiji. 7💠Wakumbushwa kujituma, uaminifu na ukusanyaji mapato katika maeneo yao. Pia kuhakikisha wanatatua kero za wananchi kwa wakati. Wakumbushwa kukamilisha ujenzi wa ...