0 comments

AWF YAWAKUTANISHA WAFUGAJI NA MBUGA YA TAIFA MKOMAZI

*AWF YAWAKUTANISHA WAFUGAJI NA MBUGA YA MKOMAZI ~ SAME.* 🔸Viongozi wa wafugaji kutoka Wilaya 5 za Mkoa wa Kilimanjaro na Tanga wakutana kujadili juu ya maendeleo yao na jinsi wanavyoweza kushirikiana na Mkomazi ili kuboresha maisha yao.🔸AWF waeleza dhamira yao ya kuona wafugaji wanajua faida ya Mkomazi na fursa kwao na kutaka kubadilisha maisha ya wafugaji kwa kufanya ufugaji ...

0 comments

WAJASILIAMALI WADOGO SAME WAMPONGEZA RAIS

*WAJASILIAMALI WADOGO SAME WAMPONGEZA RAIS* Katika kuhamasisha vitambulisho vya wajasiliamali. Wajasiliamali wadogo wamemshukuru Rais Mh. Dr. John Pombe Magufuli kwani tangu wameanza kutumia vitambulisho hivyo. Wamefanya biashara kwa amani. 🔥DC Same akihamasisha uchukuaji wa vitambulisho hivyo kata ya Hedaru na Maore. Amewakumbusha dhamira njema ya Mh. Rais na faida watakayoipata ...